Recent Upload

6/recent/ticker-posts

Nandy awomba Msamaa Baada ya Kuitwa Basata(Blissful ENT)

Kwnini Nandy aliitwa Basata.
Msanii Nandy aliitwa Basata kwa kosa la kuposti Picha na video mbaya wakati ana promoti wimbo wake mpya kwa jina Achalizame ambao ali mshirikisha Harmonize.

Kazi ya Basata Tanzania Ni Gani?
Hili ni barasa la kusimamia sanaa Tanzania, lilianza mwaka wa 1974 liki julikana kama (BAMUTA)


Alicho kisema Baada ya kuitwa Basata.
Alikubali makosa yake nakuomba msamaha kwa watanzania na mashabiki wake kwa alichokuwa anakifanya wakati ana promoti wimbo wake.Ali ahidi hatarudia hilo kosa tena.
Mashabiki wake na Watanzania wote wali mpongeza sanaa kwa alicho kifanya hii ili onyesha ukomavu wake katika mziki.
 
Pia sisi Huku kama Blissful ENT tuna mpongeza Sanaa.
Tupe mtazamo wako hapo chini kwa comments section.


Post a Comment

1 Comments