Hot Updates

6/recent/ticker-posts

Ngoma Mpya Zenye Zimetoka wiki Hii na ziko Trending Kenya

1.Tuma Kitu-Khaligraph Jones; Kenya   
  Aliwachia hii ngoma siko mmoja iliopita,iliweza kupata views 100k baada mda wa kama  saa 10 na bado ikaweza kuingia trending.Kwa sasa tu iko namba #3 kwenye trending na bado inazidi kupanda.

Mashabiki wameonyesha kupenda hii Ngoma Kwa Sana kulingana na venye wanavyo wachia comments Zao, na kuongelea ubora na kumpongeza khaligraph Jones kwa kupata views wengi baada ya mda mfupi.2. Missing You-Bahati Kenya; Kenya.

   Ilitoka siku mbilizilizo pita,Bahati alitowa hii ngoma baada ya kutoa remix ya wanani baada ya mda kama wa wiki tatu.
   Kwa sasa iko trending namba #43. Mpaka Keasho-Harmonize; Tanzania

   Huu wimbo ulitoka hii wiki siku nne zilizo pita na baada ya masaa 24 ulikuwa tayari upo kwenyea trending Kenya na Tanzania.

  Mashabiki walionesha kupenda video hio sana kulingana na jinsi ilivyo fanywa, Harmonize alionekana na mavazi tafauti na mdindo wake wa nywele alikuwa amebadilisha pia hiki kilifanya mashabiki wake kupenda hio nyimbo zaidi. Kwa sasa iko namba #5 kwenye trending na views 1.1


4. Leilah-Otile Brown na Kidum; Kenya
  
 


  

Post a Comment

0 Comments